Rail On - Papa Wemba Lyrics


[Couplet 1]
Machozi yangu yote namalizika
Mie nitalala na nani
We unaenda

[Couplet 2]
Mie mpaka ni mawazoo ooh ooh
Mie mpaka ni kuwazawaza
We unaenda
Unaenda

[Couplet 3]
Kama ile njia yako enda
Kama ni maisha yako fuata
Wee dada
Rail on

[Refrain]
Rail on
Rail on
Rail on
Think thats the way

[Refrain]
Rail on
Rail on
Rail on
Think thats the way

[Couplet 4]
Leo paka ni mawazo ooh
Hapo unaniacha ngo
Kama we unaenda
We unaenda
We unaenda

[Refrain]
Rail on
Rail on
Rail on
Think thats the way

[Refrain]
Rail on
Rail on
Rail on
Think thats the way

[Refrain]
Rail on
Rail on
Rail on
Think thats the way

[Outro]
Rail on
Think thats the way

Rail On lyrics !!!