Kivuruge - Nandy Lyrics


Ahhhh
Ahhhh
Ahhh
Mhhhh
Mhh
Uliyenipa maumivu me kama nyangau
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki, mashosti unakanidharau
Ukanitia maumivu, stress niwe mnyonge
Ohh eh
Leo sina thamani, ndo maana
Unawafuata milupo ohh Baba
Leo sina thamani eh ndo maana unawafuata milupoo.

Kivuruge lyrics !!!