Konde Boy
Eey...Baby I wanna feel your body tonight
I know you gonna feel my vibe tonight
Kwanza kako simple simple hakanaga makuu
Kana vidimpo dimpo
Uko nyuma kichugu
Ati kako simple simple
Hakanaga makuu
Kana Vidimpo dimpo huko nyuma kichugu
Yii..Hiyo nguo kama naiona (Naiona)
Kwa tabu inavo ingia
Fundi kakosea kushona (Kushona)
Ata kicha hakiwezi ingiaInabana
Sema tena
Inabana
nana
Inabana
Nanana
Kote
Inabana
nana
Yeah Inabana
Chimia Nsyuu, Lutimia rwais
Nikdo wachi kwasi
Vembo talinaligambo
Ajagazaruu, omeraa oh
Inabana taiti nyoo
Baby stailayo kwafu nyoo
Ganawera pachu
Gachalavo nuk,nuk,nuk kauto
Put your body on me go down low
Lemme see,lemme see yoo
Tuzirinye schirimanjaro
Ubutiko fetibereyo
Girl want you in my lyfo
Kwatua baby yaseso
Chiswahili,chiganda Naro
Eddy Kenzo
HarmonizeInabana
Inabana
Sema tena
Inabana
nana
Inabana
Nanana
Kote
Inabana
nana
Yeah InabanaShake it bobo
Biribara bo
Ma baby wange oripanadol
Ahh Shake it bobo
Biribara boOnly you baby I no go cheat
Sinaga muda na ma side chick
Nitakupa vitamu tena zaidi ya pipi
Eti wanaulizana nimekupata vipi...aaahh