Zuchu - Utaniua Lyrics


[Intro]Eti-lah-lah-lah, lalalala, lala, lalaahLah-lah, lalalala, lala, lalaah[Verse 1]Nna hamu mwenzenu nna hamu kuyahadithiaOh nna hamu tena nna hamu kuyasimuliaUtani kama utani tulianza kimasiaraSikudhani sikudhani yatafikia mahalaAkiwa hapatikani hapaliki sijalalaKanifanya kitu gani? Mbona imekua mara?Dua la kuku menipata mwewe wallah nyinyi ni mtihaniHata makosa ayafanye yeye mimi ndo naomba samahani[Pre-Chorus]Ona anacheka kama mazuriAnajua kabisa amenteka kwake sina shughuliEti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuriNa kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufuli[Chorus]Oh, baby mimi hapa taabani (Wewe utaniuwa niuwa)Nimeoza dah yarabi sihemii ( Wewe utaniuwa niuwa)Ah, izo raha zakoo (Wewe utaniuwa niuwa)Roho yangu mali yako (Wewe utaniuwa niuwa)[Verse 2]Tukikosa stuli ni sunna kula kwenye mkekaUnijue vizuri nikinuna mie ndo nadekaHusijedhani kiburi uniache nikaja kuchekwaBaby raha ya shughuli mkunwa awe na heka hekaOh husichokipenda wewe chunga na mimi husinifanyieMgomba wangu mwenyewe eti ndizi nigombanieNipe penzi nilewe umenizimiaaOoh ringa kwangu upo mwenyewe kiboko yangu miee, oh vimbaa[Pre-Chorus]Ona anacheka kama mazuriSi anajua kabisa amenteka kwake sina shughuliEti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuriNa kwenye koma kaweka nukta kanitia na kufuriii[Chorus]Oh, baby mwenzako mimi twabani (Wewe utaniuwa niuwa)Chagua mwenyewe unizike unishafirishe (Wewe utaniuwa niuwa)Ah, izo raha zakoo (Wewe utaniuwa niuwa)Roho yangu mali yako oh (Wewe utaniuwa niuwa)

Utaniua lyrics !!!