Sometimes what you dream
Can be deceiving
Na huwezi kuvuna usichokipanda
Thanks God for givingGhetto sikuwa na umeme wala cable
Hizi moja T-Shirt na yebo
Ati leo namiliki lebo
Lebo, Konde Gang leboSiku zote kisicho kuua
Kitakufanya uwe ngangari
Ata mwanga huwezi kumjua
So ishi nao kwa tahadhariMy sister, siku hizi shape wananunua
We pambana upate salary
Ila usisahau pesa maua
So ukikosa hata usijali
One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidiiThree love kwa master na rita
Mlinifanya hasira zizidii
Four love njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema niitweJeshi, konde boy Jeshi
Tena siku hizi wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kirembo
Jeshi, konde boy Jeshi
Yaani wanangu wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kirembo
One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidiiMi naamini Mungu yupo tena
Naongea nae japo sisikii sauti yake
Nikianguka ntainuka tena
So usishangae why tembo anahustle peke yakeCoz I know, unapokiokota
Ndo wakati wakukitunza
Ili kesho kisije potea
Na unaposota ndo wakati wa kujifunza
Ni wapi ulipokosea
Sio kama siwezi kujibizana
Ila mwenzenu nimeumbwa na subiraCheki madili yanavyogogana
Coz nina nyota ya Libra
Nbona siwaoni walotumwa kunitukana
Vichwa vyao kimya
Tena siku hizi siimbi sana
Wacha washindane na IbrahI say one love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidiiThree love kwa master na rita
Mlinifanya hasira zizidii
Four loνe njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema niitweJeshi, konde boy Jeshi
Tena siku hizi wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kirembo
Jeshi, konde boy Jeshi
Yaani wanangu wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kiremboOne love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidiiKonde boy...